Wizara ya Afya, Ajira kwa Wataalamu wa Afya 2025 / 2026 inaajiri wataalamu wa afya kama wauguzi, madaktari, maabara, na wahudumu wa afya ya jamii. Ajira hutolewa moja kwa moja au kupitia TAMISEMI kulingana na mahitaji.
Mifano ya Nafasi za Ajira
- Madaktari wa Upasuaji, Magonjwa ya Ndani, Watoto, Akina Mama
- Wauguzi wa ngazi zote: Certificate, Diploma, Degree
- Wataalamu wa Maabara, Mionzi, Dawa
- Wahudumu wa Afya ya Jamii
- Na fani mbalimbali za Afya.
Maeneo ya Ajira
- Hospitali za wilaya, mikoa na kanda
- Vituo vya afya na zahanati
- Taasisi za mafunzo ya afya
Maandalizi Muhimu
- Hakikisha una leseni ya Baraza husika (Nursing Council, Medical Council n.k.)
- Kuwa na vyeti halali vilivyothibitishwa na NACTVET au TCU
Tovuti zinazotoa matangazo ya ajita:
Soma zaidi: TAMISEMI, Ajira za Walimu na Afya 2025 / 2026
Nahitaji kazi uhudumu wa afya ya jamii,Nimesomea medical Attendant
Ajira