Hii hapa orodha ya majina Walioitwa kwenye Usaili Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 12-09-2025 hadi 13-09-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-