Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa kwenye usaili Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15/09/2025 hadi 16/09/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-