Hii haa orodha ya Walioitwa kwenye usaili Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Longido anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15-09-2025 hadi 18-09-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-