Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa kwenye usaili Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15 Septemba 2025 hadi tarehe 18 Septemba 2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-