Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa kwenye usaili Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manisapaa Mtwara-Mikinndani anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15-16/09/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-