Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa kwenye usaili Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam anapenda kuwataarifu kwa awamu ya pili Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe tarehe 14/09/2025 hadi 18/09/2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-