Hili hapa tangazo la walioitwa kwenye usaili Mkurugenzi wa Manispaa katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 12-09-2025 hadi 13-09-2025 a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-