Ajira

OSHA, NACTVET Walioitwa kwenye Usaili Ajira Portal 2025

OSHA, NACTVET Walioitwa kwenye Usaili Ajira Portal 2025

Hili hapa tangazo la majina ya kuitwa kweye usaili OSHA, NACTVET Walioitwa kwenye interview Ajira Portal 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 31-05-2025 hadi 17-06-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Pakua PDF ya kuitwa kwenye usaili Utumishi https://www.ajira.go.tz/baseattachments/interviewattachments/20251205151850TANGAZO%20LA%20KUITWA%20KWENYE%20USAILI%203.pdf

Soma zaidi: Mwongozo wa Walimu Kujitolea, Fursa za Ajira 2025

Leave a Comment