Nafasi ya Kazi Inayovutia: Treasury Sales Officer
Jiunge na timu yetu leo
Waombaji wanaohitimu wanapaswa kutuma:
- CV
- Barua ya maombi (Cover Letter)
- Nakila za vyeti vyote vya kitaaluma
Tuma maombi yako kupitia barua pepe: recruitment@dcb.co.tz
Mwisho wa kutuma maombi: 11 Septemba 2025
Kwa maelezo zaidi kuhusu kazi hii na sifa zinazohitajika, tembelea tovuti yetu