Ajira

Nafasi za kazi Shop Sales

Nafasi za kazi Shop Sales

Nafasi za kazi Shop Sales kutoka TaifaGas Tanzania

Maelekezo ya Kuomba Kazi:

Nafasi za kazi Shop Sales1
  1. Tuma CV yako ya kisasa/iliyoboreshwa tu kwenda jobs@taifagas.co.tz
    (tafadhali usitume vyeti kwa sasa)
  2. Maombi yatakayokiuka maelekezo haya hayatazingatiwa.
  3. Katika sehemu ya subject ya barua pepe andika jina la nafasi unayoomba.
  4. Ambatanisha pia leseni ya udereva iliyo halali.
  5. Mwisho wa kutuma maombi ni Jumatano, 10/09/2025 saa 10:00 jioni.

Leave a Comment