Ajira

Nafasi za Kazi EACOP

Nafasi za Kazi EACOP

EACOP wanatafuta wataalamu wenye uwezo kujiunga na timu yetu kwenye nafasi hizi:

  1. Pipeline Engineer
  2. Lead Process and Flow Assurance
  3. Maintenance Coordinator
  4. Project Engineer

Mwisho wa kutuma maombi: 19 Septemba 2025

Jinsi ya Kuomba

Wale waliohitimu na wenye nia ya kuomba wanapaswa kuwasilisha:

  • CV ya kina (Curriculum Vitae)
  • Barua ya Maombi ikieleza kwa nini unafaa kwa nafasi unayoomba

Tuma maombi yako kupitia moja tu ya anuani zifuatazo:
SeaOwl: sestz@seaowigroup.com
Air Swift: recruitment.tanzania@airswift.com
Qsourcing: recruitmenttanzania@qsourcing.com
CCL: tanzania@cclglobal.com

Kumbuka: EACOP haitoi na haitahusisha malipo yoyote katika hatua yoyote ya mchakato wa ajira.

Tuma maombi hapa

Leave a Comment