Ajira

Nafasi za Kazi BRAC Tanzania

Nafasi za Kazi BRAC Tanzania

BRAC Enterprises Tanzania Limited (BETL) ni kampuni binafsi iliyosajiliwa hapa Tanzania. Inafanya kazi kama social enterprise na kwa sasa ipo kwenye majaribio ya kuendesha mfumo wa biashara wa kusaidiana gharama kwa ajili ya elimu ya awali (ECD), ili kuboresha maendeleo ya watoto wenye umri wa miaka 3–5 nchini.

Kupitia mradi huu, BRAC inalenga kuhamasisha sekta binafsi ya ECD Tanzania kwa kutengeneza mfumo endelevu wa biashara utakaoleta programu za elimu ya awali kwa gharama nafuu, zenye ubora wa juu na zinazoweza kufikika kwa wengi.

Tuma maombi hapa

Leave a Comment