in

Nafasi 500 Ajira Mpya za Dereva MDAs & LGAs

Nafasi 500 Ajira Mpya za Dereva MDAs & LGAs Nafasi za Kazi Afisa Kumbukumbu Daraja II MDAs & LGAs Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha Maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi kumi (10) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

Nafasi: Dereva Daraja II – Nafasi 500
Mwajiri: Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs)
Muda wa Kutuma Maombi: 05 Juni 2025 hadi 14 Juni 2025

Majukumu:

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  • Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
  • Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
  • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
  • Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari; na
  • Kufanya usafi wa gari.

Sifa za mwombaji:

Kuajiriwa wenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali

Tuma maombi hapo chini.

What do you think?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings