Mabadiliko ya Usaili Kada za Ualimu 2025 Waombaji kazi wote wa kada zifuatazo:
- MWALIMU DARAJA IIIB – Kemia, Jiografia, Baiolojia, Tehama
- MWALIMU DARAJA IIIA – Elimu ya Awali

Walioitwa kwenye usaili wa Mahojiano yanayotarajiwa kufanyika tarehe 24.01.2025, mkoani Tabora, mnaarifiwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili.
Mahali Mpya:
Usaili wa Mahojiano utafanyika katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC), Tabora, badala ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Tabora kama ilivyotangazwa awali tarehe 11.01.2025.
Tarehe na Muda:
Tarehe na muda wa usaili utabaki kama ilivyoelezwa kwenye tangazo la awali.
Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea tovuti yetu:
👉 www.ajira.go.tz
Soma zaidi:
GIPHY App Key not set. Please check settings