in

Fomu ya Kujiunga Kidato cha Tano Ganaco 2025

Hii hapa Fomu ya Kujiunga Kidato cha Tano Ganaco 2025 joining instruction shule ya secondary Mkoani Arusha kwa wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika shule hiyo kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

Ninayofuraha kubwa kukufahamisha kuwa mwanao tajwa hapo juu amechaguliwa kujiunga na kidato cha Tano. Katika shule hii mwaka 2025/2026 tahasusi ya Shule ya sekondari Ganako ipo umbali wa km 140 kutoka Arusha mjini na km 1.5 kutoka Karatu mjini hadi shuleni. Usafiri wa basi kutoka Arusha mpaka Karatu ni shilingi 7000 na wa Taksi kutoka mjini Karatu ni sh 4000 na shilingi 1500 kwa usafiri wa pikipiki kutoka karatu mjini mpaka shuleni.

Ofisi ya Rais TAMISEMI ni Wizara pekee ambayo Makao Makuu  yake yalianzia Jijini Dodoma tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini tangu  Serikali ilipotangaza Makao Makuu ya Serikali kuwa ni Dodoma na kwa Dar  es salaam kumekuwa na Ofisi ndogo. Uwepo wa Makao Makuu Dodoma ulikua na  lengo la kutoa fursa sawa kwa wadau wake wakuu hususan Mikoa na Mamlaka  za Serikali za Mitaa kufika Dodoma kwa urahisi wanapofuata huduma  mbalimbali.

Dhima

Kutengeneza mazingira wezeshi ya utekelezaji wa Sera ya Ugatuaji wa Madaraka kwa Umma, Maendeleo Vijijini na Mijini, Sheria, Miongozo na Viwango ili kuiwezesha Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kutoa huduma bora kwa wananchi na kuondoa umaskini.

Pakua PDF hapo chini yenye maelezo kwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2025.

What do you think?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings