in

Fomu ya Kujiunga Kidato cha Tano Engutoto 2025

Maagizo ya Kujiunga na Shule kwa Wanafunzi wa Kidato Wilaya ya Monduli.

Hii hapa Fomu ya Kujiunga Kidato cha Tano Engutoto 2025 joining instruction shule ya secondary Mkoani Arusha kwa wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika shule hiyo kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

Ndugu Mzazi/Mlezi, ninayo furaha kukutaarifu kuwa, mwanao amechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2025 (HGL/HKL ) katika shule ya sekondari ENGUTOTO. Nitumie nafasi hii, kukupongeza wewe na mwanao kwa kupata bahati hii, ambayo watu wengi wameikosa. HONGERA KWA KUCHAGULIWA NA KARIBU SANA katika shule ya sekondari ENGUTOTO kwa ajili ya kupata ELIMU BORA. Ni matumaini yangu kuwa, mwanao ataitumia nafasi hii vizuri kwa manufaa yake binafsi, familia na Taifa kwa ujumla.

Shule ya sekondari ENGUTOTO, ipo mjini MONDULI mkabala na kituo cha Mafuta GAPCO, ambacho pia ni kituo cha Mabasi maarufu kwa jina la “SHELI” kilichopo katika barabara kuu ya ARUSHA ~ MONDULI. Shule ya sekondari Engutoto, ni ya BWENI kwa kidato cha 1 hadi cha 6. ( Wavulana tu)

Ofisi ya Rais TAMISEMI ni Wizara pekee ambayo Makao Makuu  yake yalianzia Jijini Dodoma tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini tangu  Serikali ilipotangaza Makao Makuu ya Serikali kuwa ni Dodoma na kwa Dar  es salaam kumekuwa na Ofisi ndogo. Uwepo wa Makao Makuu Dodoma ulikua na  lengo la kutoa fursa sawa kwa wadau wake wakuu hususan Mikoa na Mamlaka  za Serikali za Mitaa kufika Dodoma kwa urahisi wanapofuata huduma  mbalimbali.

Dhima

Kutengeneza mazingira wezeshi ya utekelezaji wa Sera ya Ugatuaji wa Madaraka kwa Umma, Maendeleo Vijijini na Mijini, Sheria, Miongozo na Viwango ili kuiwezesha Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kutoa huduma bora kwa wananchi na kuondoa umaskini.

Pakua PDF hapo chini yenye maelezo kwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2025.

What do you think?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings