in

Fomu ya Kujiunga Kidato cha Tano Arusha Secondary 2025

Hii hapa Fomu ya Kujiunga Kidato cha Tano Arusha Secondary 2025 joining instructions shule ya secondary Mkoani Arusha kwa wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika shule hiyo kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

Ninayo furaha kukujulisha kuwa umechaguliwa katika Shule hii, Kidato cha Tano (2018/2019) Mchepua wa Shule hii ipo umbali wa kilometa moja kutoka stand kuu ya mabasi ya mikoani ( Arusha Bus Terminal ). Utakuwa mwanafunzi wa kutwa ukiwa mvulana na bweni msichana.

Hii ni Shule ya Kutwa lakini tuna ‘Bweni’ kwa wasichana wa kidato cha tano na sita tu. Kuwahi saa 1.00 asubuhi ni jambo la sheria na mwanafunzi haruhusiwi kutoka nje ya eneo la shule wakati wa masomo bila ruhusa. Wanafunzi wachelewaji na/au watoro watachukuliwa hatua.

Ofisi ya Rais TAMISEMI ni Wizara pekee ambayo Makao Makuu  yake yalianzia Jijini Dodoma tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini tangu  Serikali ilipotangaza Makao Makuu ya Serikali kuwa ni Dodoma na kwa Dar  es salaam kumekuwa na Ofisi ndogo. Uwepo wa Makao Makuu Dodoma ulikua na  lengo la kutoa fursa sawa kwa wadau wake wakuu hususan Mikoa na Mamlaka  za Serikali za Mitaa kufika Dodoma kwa urahisi wanapofuata huduma  mbalimbali.

Dhima

Kutengeneza mazingira wezeshi ya utekelezaji wa Sera ya Ugatuaji wa Madaraka kwa Umma, Maendeleo Vijijini na Mijini, Sheria, Miongozo na Viwango ili kuiwezesha Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kutoa huduma bora kwa wananchi na kuondoa umaskini.

Pakua PDF hapo chini yenye maelezo kwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2025.

What do you think?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings