in

Fomu ya Kujiunga Kidato cha Tano Arusha Girls 2025

Hii hapa Fomu ya Kujiunga Kidato cha Tano Arusha Girls 2025 joining instruction shule ya secondary Mkoani Arusha kwa wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika shule hiyo kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

Nafurahi kukufahamisha kuwa mwanao amechaguliwa kujiunga na Kidato cha tano(V)katika shule hii mwaka 2018/2019 tahasusi ya EGM, PGM, PCM, HGE Shule ya Sekondari Arusha Girls ipo umbali wa kilometa 09 (tisa) Magharibi mwa mji wa Arusha.Usafiri wa basi kutoka mjini Arusha unapatikana katika kituo cha mabasi Kilombero magari yakwenda Kisongo nauli ni shilingi 500/= (mia tano tu) hadi njia panda ya kwenda shuleni panajulikana kwa jina ndorobo.Unaweza kuchukua usafiri wa pikipiki kutoka kituo cha canada hadi shulenishilingi 2,000/=, kituo cha canada kipo mita chache kutoka kituo cha ndorobo.

Ofisi ya Rais TAMISEMI ni Wizara pekee ambayo Makao Makuu  yake yalianzia Jijini Dodoma tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini tangu  Serikali ilipotangaza Makao Makuu ya Serikali kuwa ni Dodoma na kwa Dar  es salaam kumekuwa na Ofisi ndogo. Uwepo wa Makao Makuu Dodoma ulikua na  lengo la kutoa fursa sawa kwa wadau wake wakuu hususan Mikoa na Mamlaka  za Serikali za Mitaa kufika Dodoma kwa urahisi wanapofuata huduma  mbalimbali.

Dhima

Kutengeneza mazingira wezeshi ya utekelezaji wa Sera ya Ugatuaji wa Madaraka kwa Umma, Maendeleo Vijijini na Mijini, Sheria, Miongozo na Viwango ili kuiwezesha Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kutoa huduma bora kwa wananchi na kuondoa umaskini.

Pakua PDF hapo chini yenye maelezo kwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2025.

What do you think?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings