Ajira Portal, Lango Rasmi la Ajira Serikalini 2025 / 2026 ni mfumo wa mtandaoni unaotumiwa na PSRS kuratibu mchakato wa maombi ya ajira serikalini.
Kumbuka, Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.
Faida za Ajira Portal:
- Urahisi wa kuona nafasi zote za kazi zinazotangazwa.
- Mfumo mmoja wa kuwasilisha maombi.
- Kupata taarifa sahihi na za uhakika kuhusu ajira mpya.
Vipengele Muhimu
- Dashboard ya Muombaji: Hutoa taarifa binafsi, historia ya maombi, na majibu ya usaili.
- Nafasi za Kazi: Orodha ya kazi mpya kila wiki au kila mwezi.
- Mipangilio ya Arifa: Unaweza kuweka arifa (notifications) ili kupata ujumbe kila tangazo jipya linapotolewa.
Changamoto
- Ushindani mkubwa.
- Mfumo unaweza kuwa mzito wakati wa mwisho wa muda wa kutuma maombi.
Ingia katika Mfumo wa maombi ya Ajira Portal Tanzania.
Soma zaidi: Ajira Kupitia Utumishi wa Umma (PSRS) 2025 / 2026