Ajira Mpya Mkapa Foundation, TAESA Nafasi za Kazi 800 Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa kushirikiana na kampuni mbalimbali kama Mkapa Foundation, Imara Horizon, Connect General Supplies Co. Ltd, Sassy Solutions Co. Ltd pamoja na Larali Global Solutions inatangaza nafasi 800 za fursa za ajira ya udereva zitakazopatikana katika kampuni ya Mowasalat nchini Qatar, kama ifuatavyo:
Ajira zilizotangazwa
1. Dereva – Nafasi 800
Kampuni: Mowasalat, Qatar
Umri: Miaka 25 – 45


Sifa za Mwombaji
- Awe na elimu ya kidato cha Nne na kuendelea
- Awe na leseni ya kuendesha magari madogo kwa kipindi kisichopungua miaka 2 mfululizo
- Awe na uwezo wa kuzungumza lugha ya Kiingereza
- Mwenye elimu ya lugha ya Kiarabu atapewa kipaumbele
Mambo Muhimu
- Mshahara utatolewa kulingana na sera ya kampuni pamoja na sheria za nchi ya Qatar
- Gharama za mchakato wa ajira zitalipiwa na muajiri
- Mwajiri atagharamia viza na tiketi ya ndege
- Mwajiri atagharamia malazi na chakula katika kipindi chote cha ajira
Aina ya Ajira: Mkataba
Daraja: C au E
Mwisho wa Kupokea Maombi: 16 Mei, 2025
Jinsi ya Kutuma Maombi
Tembelea tovuti zifuatazo:
Tuma maombi kupitia mfumo wa ajira Mkapa Foundation, Ukipata changamoto wakati wa utumaji maombi piga hizo namba kwa msaada zaidi.
Tuma hapa https://mkapafoundation.or.tz/index.php/International-career
- Simu: +255746936354 / +255678203223
- https://www.manpower.cgs.co.tz
Simu: +255748882255 / +255675899410 - Barua pepe: sassysolution@gmail.com
Simu: +255782812089 / +255710882820 - Barua pepe: info@cgs.co.tz
- Barua pepe: info@larali.co.tz
Simu: +255694521912
Baada ya kutuma maombi unapaswa kujisajili kwenye mfumo wa ajira TAESA au katika kiunganishi hiki https://jobs.kazi.go.tz
Simu: +255784301987.
Soma zaidi: Ajira Serikalini Tanzania, Fursa za Kazi 2025 / 2026
Habali za usubuhi viongozi apa nimefurahi san kwa kuruma maombi ya kazi samahani viongozi munijibu asanteni
Morning please gev me your job
My driver mecanic