Ajira

Nafasi za Kazi MEFMI

Nafasi za Kazi MEFMI

Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) ni taasisi ya kikanda inayomilikiwa na nchi wanachama 15, ambazo kwa sasa ni: Angola, Botswana, Burundi, Eswatini, Kenya, Lesotho, Malawi, Msumbiji, Namibia, Rwanda, Sudan Kusini, Tanzania, Uganda, Zambia na Zimbabwe.

MEFMI ilianzishwa mwaka 1997 kwa lengo la kujenga uwezo endelevu katika maeneo muhimu ndani ya wizara za fedha, tume za mipango na benki kuu au taasisi zinazolingana nazo.

Leave a Comment