Ifakara Health Institute inatafuta Mtaalamu wa Maabara (Laboratory Scientist) kusaidia katika utafiti wa MMS MAP Study.
Nafasi hii itahusisha kufanya vipimo vya Immunology na Molecular Biology huku ukihakikisha viwango vya kimataifa na ubora wa tafiti vinafuatwa.
Mwisho wa kutuma maombi: Jumamosi, 13 Septemba 2025 saa 10:30 jioni (EAT)
Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuomba, tembelea ukurasa wetu wa ajira.