EACOP wanatafuta wataalamu wenye uwezo kujiunga na timu yetu kwenye nafasi hizi:
- Pipeline Engineer
- Lead Process and Flow Assurance
- Maintenance Coordinator
- Project Engineer
Mwisho wa kutuma maombi: 19 Septemba 2025
Jinsi ya Kuomba
Wale waliohitimu na wenye nia ya kuomba wanapaswa kuwasilisha:
- CV ya kina (Curriculum Vitae)
- Barua ya Maombi ikieleza kwa nini unafaa kwa nafasi unayoomba
Tuma maombi yako kupitia moja tu ya anuani zifuatazo:
SeaOwl: sestz@seaowigroup.com
Air Swift: recruitment.tanzania@airswift.com
Qsourcing: recruitmenttanzania@qsourcing.com
CCL: tanzania@cclglobal.com
Kumbuka: EACOP haitoi na haitahusisha malipo yoyote katika hatua yoyote ya mchakato wa ajira.