Nafasi za kazi Shop Sales kutoka TaifaGas Tanzania
Maelekezo ya Kuomba Kazi:

- Tuma CV yako ya kisasa/iliyoboreshwa tu kwenda jobs@taifagas.co.tz
(tafadhali usitume vyeti kwa sasa) - Maombi yatakayokiuka maelekezo haya hayatazingatiwa.
- Katika sehemu ya subject ya barua pepe andika jina la nafasi unayoomba.
- Ambatanisha pia leseni ya udereva iliyo halali.
- Mwisho wa kutuma maombi ni Jumatano, 10/09/2025 saa 10:00 jioni.