Jiunge na AzamPesa kama PMO Officer (KazI ya Kudumu, Ofisini – Dar es Salaam).
Utakuwa sehemu ya kuendesha ubunifu kwenye fintech na kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati, kwa kiwango na ubora unaohitajika.
Mahali: Makao Makuu ya AzamPesa, Dar es Salaam
