Ajira

Walioitwa kwenye usaili Halmashauri ya Wilaya ya Longido

Walioitwa kwenye usaili Halmashauri ya Wilaya ya Longido

Hii haa orodha ya Walioitwa kwenye usaili Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Longido anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15-09-2025 hadi 18-09-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Pakua PDF hapa

Leave a Comment