Mabadiliko ya Tarehe ya Mkurugenzi wa Jiji la Tanga anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioi t w a k w e n y e u s a i l i kuwa kuna mabadiliko ya tarehe za kufanya usaili. Usaili utafanyika tarehe 12/09/2025 hadi tarehe 13/09/2025 badala ya tarehe zilizotajwa kwenye tangazo la awali. Aidha, muda na maelekezo mengine muhimu yatabaki kama yalivyotolewa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.