MatokeoMatokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi 2025 / 2026 kwa nafasi mbalimbali za ajira serikalini hutolewa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) kupitia tovuti rasmi ya Ajira Portal (https://portal.ajira.go.tz) kwa kuangalia kupitia akaunti yako.
Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
Angalia matokeo ya usaili hapa
- https://www.ajira.go.tz/newsdetails/cHlkQzY2V0Rkck5GWlFGNzNSSUF2dz09
- https://www.ajira.go.tz/newsdetails/V2VablEwek1WWDFEb3lwUEJRa0hEdz09
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Usaili
Waombaji wanaweza kufuatilia matokeo yao kwa hatua zifuatazo:
- Ingia katika tovuti ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS)
- Tembelea tovuti rasmi ya Ajira Portal: https://portal.ajira.go.tz
- Angalia sehemu ya “Matokeo ya Usaili” au “Interview Results” kwa nafasi uliyotuma maombi.